Meza za sebuleni

Post a Comment. Tuesday, March 29, Kanuni 10 za mpangilio wa sebule. Iwe ni chumba kitupu yaani sebule mpya au ni ya zamani lakini unataka muonekano mwingine, kupanga fenicha sebuleni inaweza kuwa ni changamoto. Unachotakiwa kufanya ni kufuata hatua hizi zenye kanuni za mantiki na ndipo utagundua kwamba kumbe mpangilio huo ni jambo rahisi tu.

Chagua eneo la kivutio cha chumba. Kamwe usidharau nguvu ya eneo macho yanapoelekea mara wewe au mgeni wako aingiapo sebuleni. Kuna wakati eneo hili linajitengeneza lenyewe kwa mfano eneo lenye dirisha kubwa au usanifu mwingine wowote uliofanyika wakati wa ujenzi. Vinginevyo unaweza kulitengeneza kwa mfano eneo ambalo luninga na miziki itakaa.

Popote pale penye eneo hili la kivutio ndipo unatakiwa upange fenicha kupazunguka. Usigusishe fenicha na ukuta. Ukubwa wa chumba ndio unaamua ni eneo kiasi gani libaki ukutani bila kugusana na fenicha, ingawa hata kwenye sebule ndogo kabisa unapaswa kuacha.

Tengeneza eneo la mazungumzo.

meza za sebuleni

Watu waliokaa sebuleni wanatakiwa waweze kuongea kawaida kwa uhuru bila kupayuka ama kuumiza shingo kumtazama anayeongea naye. Panga sofa na viti kwa mpangilio ambao zitatazama japo si kazima ziwe kwenye mstari ulionyooka bali ziwe karibukaribu. Kama sebule ni kubwa sana ni afadhali kuweka maeneo mawili. Wapo watu wenye sebule za hivi ambapo wana kawaida ya eneo moja kukaa wageni na la pili hukaa wenyeji.

Tafuta uwiano. Uwiano ni jambo muhimu sana kwenye kupanga fenicha sebuleni. Hakikisha unachanganya ukubwa na maumbo tofauti pamoja. Zingatia pa kupita. Watu wasiruke fenicha ili kupita. Kuwe na nafasi ya kutosha angalau hatua moja kati ya meza ya kahawa na sofa na pia viti. Weka zulia lenye ukubwa sahihi.

Zulia liwe na ukubwa wa kutosha kiasi kwamba miguu ya mbele ya fenicha iwe huu ya zulia. Hii ni ili kumwezesha aliyeketi hapo miguu yake kuwa juu ya zulia. Weka meza ya kahawa kati. Weka meza kubwa ya kahawa katikati ya mzunguko wa fenicha zako. Meza hii ni kiunganishi cha fenicha za sebuleni na pia inatoa nafasi kwa watu kuweka vinywaji vyao na vilevile mwenye nyumba kuweka mapambo yake.

Hakikisha unaacha nafasi ya kutosha kati ya meza na sofa au viti ili kumwezesha mtu kupita. Weka meza za kando mkono unapozifikia. Kila sehemu ya kukaa iwe ni sofa au kiti inatakiwa iwe na ukaribu wa meza ya kando au ya kahawa. Watu hawatakiwi kusimama ili kwenda kuweka au kuchukua kinywaji mezani.

Na kwa swala la urefu, meza za kando ziwe na urefu sawa na sehemu ya sofa ya kuwekea mikono ukiwa umekaa. Na kwa upande wa meza ya kahawa, urefu wake unatakiwa kuwa sawa na wa sofa au hata chini yake.April 3, at pm Uncategorized. Marehemu Debora Riziki miaka 3 enzi za uhai wake. Riziki Mwangoka kulia anaetuhumiwa kumzika mtoto wake akiwa hai.

Hapa maiti ya mtoto Debora ikiwa imetolewa nnje mara baada ya kufukuliwa ndani ya nyumba ya baba yake mzazi. You are commenting using your WordPress. You are commenting using your Google account.

You are commenting using your Twitter account. You are commenting using your Facebook account. Notify me of new comments via email. Notify me of new posts via email.

Meza Morning Blend

Create a free website or blog at WordPress. Alisema katika tukio la kwanza la mtalaka wake huyo kumuiba mtoto wao huyo, lilitokea Septemba mwakabaada ya wiki chache za kumfukuza katika nyumba waliyokuwa wakiishi katika kitongoji cha Iponjola, kijiji cha Asenga, nyumba iliyotumika kuzikwa mtoto huyo.

meza za sebuleni

Alisema baada ya kufika eneo hilo majira ya saa mbili asubuhi alitumia ujanja na kufanikiwa kumuiba mtoto na kisha kutokomea naye kijijini kwao Asenga, hali ambayo ilisababisha kutoa taarifa kituo cha polisi Kiwira.

Share this: Twitter Facebook. Like this: Like Loading Leave a Reply Cancel reply Enter your comment here Fill in your details below or click an icon to log in:. Email required Address never made public. Name required. By continuing to use this website, you agree to their use.

To find out more, including how to control cookies, see here: Cookie Policy.Post a Comment. By Unknown Friday, 29 April Share Tweet Share Pin Email. No comments:. Subscribe to: Post Comments Atom. Popular Posts. Jichagulie Mitindo mbalimbali ya Meza za Chakula Dining table za kisasa zinazoendana na wakati.

Suti za harusi kwa Wanaume. Viatu vya Harusi vya Kiume. Video Queen wa Diamond aharibu mahusiano ya Diamondi na Zari? Pia Umbea na Uswahili wazungumziwa kuchangia magomvi yao Kinachoendelea sahizi instagram ni Mtifuano na ukorochoaji wa Maisha ya watu!

Watu wapo busy,watu wapo katika pirika pirika za kutafut Papa Wemba kuzikwa kesho.

How to get a halo in royale high for free 2020

Hot News. Total Pageviews. Video Queen wa Diamond aharibu mahusiano ya Diamon Love on air??

Leaflet beautiful marker

He's in her good books! Lenny Kravit Uliiona hii? Idris Sultan alifanya Mahojiano na Te Prince found dead at his party mansion and recordi Pop star playdate! Ciara and Kelly Rowland dress d Diamond ashikwa uchawi 'Till death do us part-y! Busty Blac Chyna whisperHeader Ads. Jinsi ya kupamba sebule ndogo. Kwenye sebule ambayo ni ndogo kabisa, haitawezekana kuwa na maeneo mengi ya kukaa kama ambavyo ungependa. Kumbuka kuwa kwa sebule ndogo uwezekano wa nyumba nzima kuwa ndogo nao ni mkubwa kwahivyo kuwa makini hata wakati wa manunuzi ukiwa unajua kuwa nyumba yako ni ndogo.

Wszystko o Ukrainkach, jakie szukają męża Polaka

Kama vipi achana na sofa. Nani kasema ni lazima sebule iwe na sofa? Jinsi ya kupamba sebule ndogo Reviewed by asia mkusa on AM Rating: 5. No comments:. Subscribe to: Post Comments Atom. Author Info. Popular Posts. Sehemu zote ndogo zina changamoto ya kupamba, lakini kwakuwa sebuleni ndio mahali unapokaa kwa uhuru na mgeni wako kupamba iliyo ndogo n Tai huzungumza.

Wachambuzi wa mambo ya saikolojia wanasema kwamba kwa kuchukua tai na kulivaa ile rangi ndiyo itakayoweza kupeleka ujumbe wa wewe unata Matusi yamfanya Justin Bieber kufunga akaunti yake ya Instagram. Justin Bieber amefutilia mbali akaunti yake ya mtandao wa instagram baada ya mashabiki kadhaa kumtusi mpenziwe.

Msanii huyo wa Canada Makabila ya Juu 10 Yenye Kujulikana zaidi ya Kiafrika. Wakati watu wengi nje ya Afrika wanafikiri juu ya Bara, kuna tabia ya kupoteza makabila yote pamoja. Hii ni bahati mbaya kwa sababu kweli ni Bora kubaki unapopajua kuliko kuhamia usipopajua. Kwa wale tunaopenda kujifunza kila siku kitu ki S HOGA mwaka ndiyo huooo unakatika leo mwezi wa tisa keshokutwa tu mwakani, shangaashangaa mjini hapa, kama ni msimu embe ndiyo hizooo z Najua mtu wangu wa nguvu unatamani kujua ni miji gani ni bora na inafaa zaidi kushi na Video Of Day.

Powered by Blogger.Thursday, 26 June Sasa utakapomwamsha, akifika, mumeo utamuona anavyojipinduapindua. Ulifua zile soksi zangu? Sasa tuendelee… Katika hali kama hii, wewe mke jaribu kuwa makini sana. Hakikisha hutoi nafasi kwa mumeo kumfikia au kuwasiliana na hausigeli kwa kitu chochote. Kama ni maji ya kuoga tenga wewe, vitu ambavyo vinawezekana kufanywa na wewe vitimize ili kuukata uhusiano hata kama utakuwa hujathibitisha kama upo!

2016 f150 5 0 imrc delete

Tatizo kubwa ni kwamba, wanawake wengi siku hizi wanawafanya wasichana wa kazi ndiyo wenye nyumba, wao wasaidizi, wakati zamani, hausigeli ndiye msaidizi wa kazi za ndani, mambo mengine yote ni kwa akina mama wenyewe. Ila kwa wale ambao wana uhusiano sasa, ukimwona mumeo ana tabia ya kuchelewa kulala eti yupo sebuleni, mke changamka, hapo pana jambo. Mume anayefanya hivyo hutoa nafasi kwa mkewe kwenda kulala na yeye kunyatia chumbani kwa hausigeli kuduu naye.

SuperDesigner

Sasa endapo mke utakwenda sebuleni na kumkuta mumeo anajifanya kukodolea macho tivii ili ujue anaangalia vipindi, jaribu na wewe kuchunguza aina ya kipindi, ukikuta ni taarifa ya habari ya Sky News,CCTV, CNN, BBC au Al Jazeera, ujue huyo mwongo tu, hana lolote.

Lakini usiishie hapo, jifanye na wewe unakaa pembeni yake kuangalia taarifa hiyo ya habari. Lakini dalili hii ni kwa mume ambaye hapo nyuma hakuwa na tabia ya kukaa sebuleni peke yake na kuangalia tivii. Na kila baada ya dakika tano, msichana huyo ataingia ndani na kupita mbele ya baba. Lengo lake ni kusoma mazingira kama mama mwenye nyumba amelala.

Valorant knife skins price

Kwa vile wao si waanzaji kama ilivyo tabia ya mwanamkebasi unaweza kumwona anashikashika vitu vya sebuleni, kama vile kuweka sawa vitambaa vya makochi japo ni usikukufuta meza, kabati au wakati mwingine kupanga CD za muziki au filamu ambazo zipo kwenye shelfu lake.

Mambo hayo anayafanya huku vyombo vikimsubiri nje! Utashangaa, ukifuatilia sana, utakuta hausigeli akishamalizana na mume, vyombo anaviingiza ndani na kuvimalizia kesho yake asubuhi. Kwa maana hiyo pia, wake za watu wawe macho na wasichana wa kazi wanaoshindwa kumaliza kuosha vyombo usiku. Ni vigumu sana kukuta wawili hao wanamalizana sebuleni ingawa inawezekana sana kwani ni eneo hatari kuliko yote ndani ya nyumba.

Uchunguzi wa kina wa kimazingira umegundua kuwa, kati ya maeneo hatari kwa fumanizi ndani ya nyumba ni sebuleni. Wengi waliowahi kufumaniwa, mfano mume kula uroda na shemeji yake mdogo wa mkewe au binti kuliwa uroda na hausiboi, ilikuwa sebuleni. Aidha, sebuleni ndiyo mahali panapofikwa kwa mara ya kwanza na watu waliolala ndani ya nyumba kuliko sehemu nyingine yoyote. Kwa hiyo, mababa wengi sasa hukwepa sebule na kwenda chumbani kwa msichana, stoo, bafuni, jikoni kama liko pembeni na uani, hasa maeneo yenye vificho kama nyuma ya karo au kama kuna sehemu kumesimamishwa vitu chakavu.

Chooni si sana kwa sababu ni eneo linalofikwa na watu kila wakati karibu usiku kucha.

Voxel to mesh python

Sasa hatari ipo hivi, mke asiyejua haya, kama mumewe ataendelea kimapenzi na hausigeli, hufikia wakati uhama nyumba. Namaanisha kwamba, hufika mahali wakitaka kukutana kimwili, wanakwenda gesti. Gesti zao mara nyingi ni nyuma ya nyumba au mtaa wa pili, huwa hawaendi mbali sana kwa kuogopa muda wa msichana kufanya kazi za ndani. Email This BlogThis! Share to Twitter Share to Facebook. Newer Post Older Post Home.

meza za sebuleni

Chukua hiyo Usisubiri mpaka afikirie kutafuta wa kumtuliza! Help Me!! Siwezi lala Bila yaKufanya MapenziPost a Comment.

Ayah menyayangi tanpa akhir pdf download

Recent posts. Labels kimataifa kitaifa magazeti michezo siasa slider. MUSIC Computing ni kampuni inayocheza na teknolojia, mbali na kutoa kompyuta yenye kasi ya ajabu na disk yenye ukubwa wa 21 TB, kampuni hii pia ina gajeti nyingine yenye kufurahisha, nayo ni Motion Command CT. Kwa jina unaweza ukadhani labda ni simulation ya ndege, kiuhakika hii ni meza ya kuweka ukumbini sebuleni.

Meza hii haiathiriki kwa maji water proof na ina skrini ya kompyuta, skrini hii inakuja na komp yuta ya Android.

Pia inakuja na kompyuta ya Android. Kwa mujibu wa Music Computing watengenezaji wa meza hii, Motion Command CT ina skrini mguso touch screenhivyo unaweza ama kutumia Android moja kwa moja au kuiunganisha na tablet au laptop ya windows, na kwa upande wa Mac, kompyuta ya rahisi zaidi kuiunganisha itakuwa ni Mac Mini. Motion Command CT inaweza kuunganishwa na kompyuta mbili sambamba. Ingawa hazitafanya kazi kwa pamoja. Music Comptuing hawakueleza ni toleo gani la Android lililopo kwenye kompyuta yameza hii.

Pia inakuja na rimoti kwa ajili ya kuwasha na kuzima tu. Kwa vile inahimili maji basi unaweza pia kunywea kahawa, au kinywaji chochote bila ya kuhofia kuiharibu. Music Computing wanaeleza kuwa meza ya Motion Command CT imetengenezwa kwa umadhubuti maalum ambao unaruhusu meza hiyo kudumu kwa miaka kadhaa. About mtanda blog. Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari.

Blogger Comment Facebook Comment. Newer Post Older Post Home. Subscribe to: Post Comments Atom.Post a Comment. Social Icons. Wengi tumeshazoea na ni desturi kujenga nyumba zenye eneo la kukutania na kubadili mawazo,wakati wowote iwe asubuhi au mchana.

Sebule ni muhimu sana kwa nyumba zetu na huwa ni sehem ya starehe kwa namna moja ama nyingine. Muhimu sebule iwe na nafasi kuweza kuingia fenicha za aina mbalimbali,kama makochi,meza na kabati la televisheni. Pili uchaguzi mzuri wa rangi za ndani nao huweka mvuto maridhawa kwa ndani hapa zingatia rangi zilizopoa.

Tatu dizain ya ceiling nayo ni pambo kwa sebule zetu ukiweka na taa nzuri,za gypsum. Madirisha makubwa nayo huongeza mvuto ukijazia na pazia ndefu zenye curtain rods nzuri,iwe ni chuma au aluminum au mbao. Zingatia urembo wenye kumech rangi japo kias kidogo na rangi kuu zilizotawala mfano waweza weka vase au picha ya ukutani yenye kuwiana na rangi zilizopo. Ukimudu kuweka zile shelf za ukutani nazo husaidia frem za picha kuwa dsplayed vizuri.

Wale wanaopendelea wall pepa inapendeza kuziweka kwenye ukuta mmoja hasa inapokaa tv na music system. Usafi ni pambo kuu kwa sebule zetu na pia tujifunze kupunguza makorokoro na mazagazaga yasiyohusika,mfano magazeti,mavitabu,makasha ya cd,maua ya kila rangi nayo hayapendezi kurundikwa sebuleni.

Ushauri ni kuwa tusijilemaze kusema siwez i kuwa na sebule makin kama zilizopo pichani kisa wanangu wadogo. Share to Twitter Share to Facebook.

Labels: Sitting room ideas. No comments :. Newer Post Older Post Home. Subscribe to: Post Comments Atom. Please Share this Blog.

'+relatedpoststitle+'

Subscribe news via Mail. Most viewed post. Ukuaji wa teknolojia umeongeza kwa kasi mabadiliko katika ujenzi wa nyumba zetu.


One thought on “Meza za sebuleni

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *